ホーム > 用語 > スワヒリ語 (SW) > kuongoza kutoka nyuma
kuongoza kutoka nyuma
Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu umeweza kuibua malumbano mengi kati ya Ikulu na Jarida la The New Yorker ambalo lilichapisha makala asilia ya yakimweleza mshauri wa Obama na kuonyesha vitendo vya Rais kule Lybia kuwa "kuongoza kutoka nyuma." Ikulu ya White House imekana kuwahi kutumia msemo huo.
Kinyume na Kampeni nyingi zilizoongozwa na Marekani Uarabuni, ambazo ziliwalenga Saddam Hussein wa Iraq na kundi la Taliban kule Afghanistan, Marekani ilichukua jukumu la pili kwenye vita vilivyoongozwa na Ufaranza huko Lybia ambavyo vilipelekea kukamatwa na kuuawa kwa Muammar Gaddafi.
0
0
改訂する
メンバーのコメント
ニュース関連の用語
ピックアップされた用語
貢献者
ピックアップされたグロッサリ
Browers Terms By Category
- Plastic injection molding(392)
- Industrial manufacturing(279)
- 紙製品(220)
- ファイバーグラス(171)
- Contract manufacturing(108)
- ガラス(45)