ホーム > 用語 > スワヒリ語 (SW) > Eneo la urithi wa dunia la Shirika la Elimu,Sayansi, na Utanaduni la Umoja Wa Taifa.

Eneo la urithi wa dunia la Shirika la Elimu,Sayansi, na Utanaduni la Umoja Wa Taifa.

Ni eneo linalotambuliwa na Shirika la Elimu,Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Taifa kama sehemu yenye thamani maalum ya kitamaduni. Linaweza kuwa msitu, mlima, ziwa, jangwa, mjengo, au mji mkubwa Orodha linatengenezwa na programu ya urithi wa dunia inayoendeshwa na kikundi cha Urithi wa dunia la Shirika la Elimu,Sayansi, na Utamaduni la Umoja wa Mataifa. Mwaka wa 1872, Kuna maeneo mia tisa sitini na mawili ambayo ni maeneo ya urithi wa dunia ambayo yako katika nchi mia moja hamsini na saba Kwa hayo, mia saba arobaini na tano ni ya kitanmaduni, mia moja themanini na nane ni ya kiasili na ishirini na tisa ni mchanganyiko.

0
マイグロッサリに追加する

メンバーのコメント

ディスカッションへ投稿するにはログインしてください。

ニュース関連の用語

ピックアップされた用語

edithrono
  • 0

    用語

  • 0

    グロッサリ

  • 1

    フォロワー

産業/ドメイン 祝祭、祭り カテゴリ イースター(復活祭)

Pasaka

Tamasha la wakristo ya kila mwaka katika maadhimisho ya ufufuo wa Yesu Kristo, husherehekewa Jumapili ya kwanza baada ya mwezi kamili ya kwanza baada ...

貢献者

ピックアップされたグロッサリ

Video Games Genres

カテゴリ: エンターテイメント   1 1 用語

metal music

カテゴリ: エンターテイメント   1 20 用語